wenje aondoka chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi, Wenje: Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi siwezi kujiunga na nao

    Pesa inanguvu sana unaweza kusahau kila kitu. Ndiyo ya Wenje alijimaliza maneno yote lakini leo kajiunga na wale aliwaita wauawaji =================== "Kaka yangu aliuwawa na serikali ya Ccm Mimi siwezi kujiunga na nao" Ezekiel Wenje. Soma Pia: Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

    Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tu😂 =========== Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje aibuka baada ya kudaiwa kuitosa CHADEMA: Nimepigana vita vingi, kushinda na kushindwa ni sehemu ya Safari

    Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama. Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema: "Nimepigana...
Back
Top Bottom