GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

GE2025 Ezekiel Wenje ajiondoa CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tušŸ˜‚
===========
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha CHADEMA baada ya kukitumikia kwa miaka kadhaa.

Kazi ambayo imefanya CCM tangu tumepata uhuru ni jambo kubwa sana ni suala la nchi kuwa na amani na utulivu, amani na maendelea ni mapacha nchi ikiwa na shida hakuna mama ntile barabarani, wauza mboga, hakuna bodaboda amesema Wenje

Ila CHADEMA atukuzuwia kushiriki uchaguzi bali waliweka mpira kwapani wenyewe


 
Rushwa ni adui wa haki. Lissu angekuwa ni mchumia tumbo kama Wenje na makada wengi walio ikimbia Chadema, angekubali kupokea lile begi la hela alilopelekewa nyumbani kwake na Abdul akisindikizwa na huyu Wenje.
 
Ee Bwana Mungu fanya kazi yako kwa wepesi kwa hawa malaya malaya wa kisiasa kama alivyonena mwl. Julius k. Nyerere ( Mwenye kheri wako). Njoo Bwana Mungu uwaadabishe maana wanachezea sana utukufu wako. Amina
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Write your reply...mnyika na bon yai tarehe 24
Ni mjinga tu atakayeshangilia mtu kuhama au kuhamia kwenye chama cha siasa zama hizi. Haya mambo hayajaanza leo na mbaya zaidi huwa hayana impact yoyote au kuleta unafuu kwa CCM. Bila kutimiza majukumu na maisha ya wananchi yakaboreka hata wangehama wote.. sana sana mambo yanazidi kuvurugika.
 
Hata wakati wa Jesus's Yuda aliangukia pua, Petrol na yeye pamoja na ujasiri wake mkubwa lakini pia aliangukia pua dakikaa ya mwishoo.
Wakati Mwalimu akiendelea na harakati zake za kudai uhuru wa Tanganyika, baadhi ya watu wa karibu na Mwalimu walimsaliti.
Msiogope, ushindi upo wazi 29th October.

Upepo ushapuliza....hivi kuna haja ya kuuliza yeti za kuku zipo sehemu gani ndugu zangu?
 
Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tušŸ˜‚
===========
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha CHADEMA baada ya kukitumikia kwa miaka kadhaa.

Kazi ambayo imefanya CCM tangu tumepata uhuru ni jambo kubwa sana ni suala la nchi kuwa na amani na utulivu, amani na maendelea ni mapacha nchi ikiwa na shida hakuna mama ntile barabarani, wauza mboga, hakuna bodaboda amesema Wenje

Ila CHADEMA atukuzuwia kushiriki uchaguzi bali waliweka mpira kwapani wenyewe



Hakuna watu wemefurahi kama Chadema
 
Back
Top Bottom