antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Njaa, njaa, njaa,GE2025 Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM
Huyu kafika bei.
Alianza mapema sana kulambishwa asali kupitia Abdul
Njaa, njaa, njaa,GE2025 Ezekiel Wenje apiga chini CHADEMA na kujiunga rasmi na CCM
Wenje hakuwa anaaminika teena ndani ya CHADEMA!
Hamna permanent friends wala permanent enemies kwenye siasa. Wacha kuwa naiveKama roho huwa zinaishi baada ya kufa, basi roho ya mdogo wake Wenje ina hali ngumu sana muda huu.
Mdogo wake aliuawa na CCM kule kwao Ujaluoni, huyo Wenje mwenyewe aliponea chupuchupu. Leo Ezekiel Wenje ameenda kuungana na waliomuua mdogo wake. Nchi pasua kichwa sana hii.
utaliwa opera miniMaelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Yaani kuijunga na waliomuua kaka yako unaona ni jambo la kawaida? Uhai haina thamani kiasi hicho? Mjane na watoto wa marehemu kaka yake Wenje wanamuonaje Wenje leo?Hamna permanent friends wala permanent enemies kwenye siasa. Wacha kuwa naive
Sio wengi wanaoweza kuweka maslahi ya taifa mbele. Huyu hana ujanja wa kukataa mabilioni ya Duli.Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tu😂
===========
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha CHADEMA baada ya kukitumikia kwa miaka kadhaa.
Kazi ambayo imefanya CCM tangu tumepata uhuru ni jambo kubwa sana ni suala la nchi kuwa na amani na utulivu, amani na maendelea ni mapacha nchi ikiwa na shida hakuna mama ntile barabarani, wauza mboga, hakuna bodaboda amesema Wenje
Ila CHADEMA atukuzuwia kushiriki uchaguzi bali waliweka mpira kwapani wenyewe
ata yeye ana target zake za akutinga ikulu apige pesaRushwa ni adui wa haki. Lissu angekuwa ni mchumia tumbo kama Wenje na makada wengi walio ikimbia Chadema, angekubali kupokea lile begi la hela alilopelekewa nyumbani kwake na Abdul akisindikizwa na huyu Wenje.
unataka aende wapBora hilo bumunda limeenda huko mboga mboga
Chadema ini sawa na nyoka anayejivua gamba.Nilijua huyu baba awezi kujishikilia muda wote CHADEMA, na hivi alitajwa sana na Lissu kwenye hela za Duli basi ilikuwa ni suala la muda tu😂
===========
Mbunge wa zamani wa Nyamagana na mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya ziwa Victoria Ezekiel Wenje leo amatengaza rasmi kuhamia CCM na kukikacha CHADEMA baada ya kukitumikia kwa miaka kadhaa.
Kazi ambayo imefanya CCM tangu tumepata uhuru ni jambo kubwa sana ni suala la nchi kuwa na amani na utulivu, amani na maendelea ni mapacha nchi ikiwa na shida hakuna mama ntile barabarani, wauza mboga, hakuna bodaboda amesema Wenje
Ila CHADEMA atukuzuwia kushiriki uchaguzi bali waliweka mpira kwapani wenyewe
Tatizo la nyoka hata akijivua gamba anabaki nyoka tu.Kuifananisha Chadema na nyoka you made my day.Chadema ini sawa na nyoka anayejivua gamba.
Magambo yote yatatoka, kitabaki chama safi kinachopendeza na imara zaidi.
Go CHADEMA GO!