Humfahamu Lissu. Mwizi/mchumia tumbo anajulikana tangu mwanzo.ata yeye ana target zake za akutinga ikulu apige pesa
mm na wewe nan anamjua lissu vizuri? ushawahi ata kuwasiliana naeHumfahamu Lissu. Mwizi/mchumia tumbo anajulikana tangu mwanzo.
Basi kila mtu aamini vile anavyo ona inafaa, ok?mm na wewe nan anamjua lissu vizuri? ushawahi ata kuwasiliana nae
Sawa mboga mboga, unaweza ukawa unamfahamu zaidi na huenda mmeshajaribu kupeleka mzigo ukagonga mwamba maana kwa kugawa mlungula hamjambo.mm na wewe nan anamjua lissu vizuri? ushawahi ata kuwasiliana nae
siasa nii michezo tu., ukiwa na fungu usajili unafanyikaSawa mboga mboga, unaweza ukawa unamfahamu zaidi na huenda mmeshajaribu kupeleka mzigo ukagonga mwamba maana kwa kugawa mlungula hamjambo.
Huu uandishi wako wa hovyo unakutambulisha vyema kwamba ni kijani.