Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Exactly, wakijenge chama ili waikomboe TanzaniaHuo ndo ukomavu wa kisiasa
🤣🤣 au sioUmechukua fedha za ABDULI Sasa nenda kazitafune vizuri
Ukomavu wapi alichotumwa ajakimalizaHuo ndo ukomavu wa kisiasa
Exactly, wakijenge chama ili waikomboe Tanzania
Chini ya TAL hayo mambo huenda yakaisha kwani jamaa anaonekana amenyookaWakiacha tamaa na siasa uchwara kwanza..
Well and fine and congratulations to him,,,..BUT the had truth remains kuwa Lisu and team walifanya kampeni chafu sana...character assassination ya wenzao! UONGO, Hawafai, kesho watafanya lingine kubwa. mimi najitenga NAO but remains a royal chadema follower!Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama.
Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema:
"Nimepigana vita vingi maishani. Nyingine nimeshinda, nyingine nimepoteza. Kushinda na kushindwa ni sehemu ya safari. Hizi ramli ni upuuzi tu. Uchaguzi umeisha, na tuko CHADEMA kwa kubaki. Mtasubiri sana hizi porojo."
View attachment 3228197
Kauli hii inakuja wakati ambapo kumekuwepo na taarifa za yeye kuondoka CHADEMA
View attachment 3228192
View attachment 3228194
View attachment 3228195
Tuambie kwanza ,ulikuwa nani huko CDM , !Well and fine and congratulations to him,,,..BUT the had truth remains kuwa Lisu and team walifanya kampeni chafu sana...character assassination ya wenzao! UONGO, Hawafai, kesho watafanya lingine kubwa. mimi najitenga NAO but remains a royal chadema follower!
Mzee mwenzangu tukubali tu tumepoteza ila team TAML wasitubagaze wakubali maridhiano ili twende pamoja. Haya mambo ya kulipiziana hata maana! Wakubali kusameheana! Nakubali kampeni zao zilikuwa za kipumbavu sana!Well and fine and congratulations to him,,,..BUT the had truth remains kuwa Lisu and team walifanya kampeni chafu sana...character assassination ya wenzao! UONGO, Hawafai, kesho watafanya lingine kubwa. mimi najitenga NAO but remains a royal chadema follower!
Unakumbuka haya maneno yako ya tarehe 6/8/2024 juu ya Wenje?Well and fine and congratulations to him,,,..BUT the had truth remains kuwa Lisu and team walifanya kampeni chafu sana...character assassination ya wenzao! UONGO, Hawafai, kesho watafanya lingine kubwa. mimi najitenga NAO but remains a royal chadema follower!
Hata nyie mlifanya character assassination sema hamkuamika na wananchiWell and fine and congratulations to him,,,..BUT the had truth remains kuwa Lisu and team walifanya kampeni chafu sana...character assassination ya wenzao! UONGO, Hawafai, kesho watafanya lingine kubwa. mimi najitenga NAO but remains a royal chadema follower!
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya CHADEMA na hana mpango wa kuhama.
Kupitia ujumbe wake X (zamani twitter) Wenje amesema:
"Nimepigana vita vingi maishani. Nyingine nimeshinda, nyingine nimepoteza. Kushinda na kushindwa ni sehemu ya safari. Hizi ramli ni upuuzi tu. Uchaguzi umeisha, na tuko CHADEMA kwa kubaki. Mtasubiri sana hizi porojo."
View attachment 3228197
Kauli hii inakuja wakati ambapo kumekuwepo na taarifa za yeye kuondoka CHADEMA
View attachment 3228192
View attachment 3228194
View attachment 3228195