Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza.
Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"
"Mimi leo nichaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) labda Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti, yaani watu wa CHADEMA wapige kura halafu mimi ninanuna? lazima niangalie ni namna gani tutatengeneza mahusiano ya kufanya kazi pamoja"- Wenje