Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Dogo,
Huwezi kuwa na hayo halafu uwe chawa wa mtu, uongo dhambi
sina haja kubabaika na dhana zisizo na athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi,
nafanya ile kitu roho inapenda kwa maslahi mapana ya wananchi jimboni na wadau wa JF 🐒