Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza.
Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"
"Mimi leo nichaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) labda Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti, yaani watu wa CHADEMA wapige kura halafu mimi ninanuna? lazima niangalie ni namna gani tutatengeneza mahusiano ya kufanya kazi pamoja"- Wenje
View attachment 3191359
Hatimaye amejua uhalisia kuwa ni nani M/kiti ajayeLissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti, yaani watu wa CHADEMA wapige kura halafu mimi ninanuna? lazima niangalie ni namna gani tutatengeneza mahusiano ya kufanya kazi pamoja"- Wenje
huyu kijana atakua Makamu mwenyekiti wa chadema Taifa,Wakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza.
Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"
"Mimi leo nichaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) labda Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti, yaani watu wa CHADEMA wapige kura halafu mimi ninanuna? lazima niangalie ni namna gani tutatengeneza mahusiano ya kufanya kazi pamoja"- Wenje
View attachment 3191359
Uchaguzi huru na haki Mbowe haiwezekani kuwa mwenyekiti kinachofanyika sasa ni Kamati ya Roho mbaya chini ya mdee Bonface wenje na sugu kutengeneza mazingira ya uchakachuaji kupora ushindi wa Lisu kwa gharama yeyoteWakuu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza.
Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"
"Mimi leo nichaguliwe kuwa Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) labda Lissu achaguliwe kuwa Mwenyekiti, yaani watu wa CHADEMA wapige kura halafu mimi ninanuna? lazima niangalie ni namna gani tutatengeneza mahusiano ya kufanya kazi pamoja"- Wenje
View attachment 3191359
...tulifanya kazi pamoja.... katika banki moja ya biashara nchini
Mara wee ni nabii unamiliki kanisa lako, mara wee CHAWA mwandamizi unamilikiwa na watu wanaokutuma, mara unafanya kazi benki,akaanza kuniombea na mimi, bila kujua kwamba na mimi ni nabii
zee la kamisheni,lazima tutizame namna Gani chama tutakiendeshaDalali kwenye ubora wake!
Dalali wenje kaamua kujihami mapemazee la kamisheni,lazima tutizame namna Gani chama tutakiendesha
Gentleman unababaika hizo mambo kidogo kidogo 🤣Mara wee ni nabii unamiliki kanisa lako, mara wee CHAWA mwandamizi unamilikiwa na watu wanaokutuma, mara unafanya kazi benki,
Kwanini machawa mnakuwa waongo hivyo?!!!
Wa kanisa gani?I'm currently an apostle
Dogo,But professional ni mwanasiasa na mwana dipolomasia mwandamizi, mkufunzi, mfugaji na mfanyabashara.