huyu kijana atakua Makamu mwenyekiti wa chadema Taifa,
sio mtu mbaya,
ni jasiri sana, tulifanya kazi pamoja miaka ya nyuma katika banki moja ya biashara nchini, akaacha kazi ili kwenda kugombea ubunge nyamagana na akapata ubunge huo,
so ni mtu wa kujitolea na kujiamini mno π