Ezekiah Wenje ana sifa zote za kuendelea kuwa Mwanachama wa CHADEMA, akifukuzwa na Mbowe afukuzwe

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,

Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee

Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni Uchaguzi tu
 
acha iendelee kunyesha ili tuone panapovuja, mlungula wa abdul uaongea.
 
Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,

Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda kosa hilo hivyo asamehewe na kazi iendelee

Mambo ya Uchaguzi yaachwe hivyo hivyo na yabaki kuwa ni Uchaguzi tu
Kupata fedha siyo tatizo....tatizo umepata fedha kwa haki au umepata fedha dhidi ya haki ..mfano fedha za Abdul je ni fedha za haki mbona zinatolewa kwa kificho na kwa mwongozo muovu nyuma yake ..
 
Una akili sana wewe
 
Back
Top Bottom