figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
*Walisema chadema wqnachelesha maendeleo. Kuanzia Rqis hadi balozi sasa wote ni CCM, Maendeleo yapo wapi?
*Siku ya kupiga kura, piga kura, nenda kale rudi kuweka kambi kwenye kituo. Kanuni haijasema piha kura uende nyumbani ukalsle
*Hatuwezi kukubali muwe mnatuibia kura halafu tupeane maji kwrnye nzengo, tutananii
*Walipoengua Wagombea wetu, tuyaenda kwa Wingi kuoiga kura za hapana
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje amesema licha ya idadi kubwa (bila kutaja idadi) ya wagombea wa chama hicho kuenguliwa, Chadema itahakikisha waliopitishwa wanashinda.
“Leo (jana) tumefungua kampeni kila mahali katika kanda yetu, mimi nimefanya mikutano katika kata nane za Jiji la Mwanza, tutaendelea kuwanadi wagombea wetu kila mahali hadi nyumba kwa nyumba,” amesema Wenje.
Kuhusiana na maeneo ambayo hakuna wagombea wa Chadema, Wenje amesema wagombea wa chama hicho watahamasisha wagombea wa vyama vingine kupiga kura ya hapana kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi huo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Kanda ya Magharibi, Meshack Micus amesema chama chake kimezindua kampeni kwenye wilaya tatu ambazo ni Urambo, Igunga pamoja na Sikonge, huku wilaya nyingine wakitarajia kufanya uzinduzi baada ya Novemba 20, 2024.