Ezekiel Kamwaga ni Simba damu!

huyo kamwaga alikimbia pindi timu hania hela
 
Simba ilikuwepo hata kabla ya Manara na itaendelea kuwepo,club itaendelea kuwepo na hata baada ya MO au Manara!
Hatujakataa kama itakuepo ishu ni vibe la manara la kuhamasisha mashabiki lilikua la kipekee,
 
Milleniars mnashida sana. Wewe umezaliwa miaka ya 2000s kama unampenda sana manara nenda kaishi naye.
Uwiiiii,miaka ya 2000?how i wish you knew me,ungestaajabu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uwiiiii,miaka ya 2000?how i wish you knew me,ungestaajabu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
No way.... Mbona pale umeandika kama ka kijana ka miaka 10s na early 20s? Mi nafahamu wanasimba wa miaka ya nyuma wapo smart sana na wanataka club iendeshwe kisasa. Wanaipenda Simba na si mtu aliyeko Simba. Au ndo kusema na ninyi pia huwa mnazeeka?
 
Inawezekana Ezekiel Kamwaga ni ww mwenyewe.......manake jf ni ya ajabu kweli
 
Bosi, unajua kitu inaitwa "infiltration" or "mole" kwenye espionage?
 
No way.... Mbona pale umeandika kama ka kijana ka miaka 10s na early 20s? Mi nafahamu wanasimba wa miaka ya nyuma wapo smart sana na wanataka club iendeshwe kisasa. Wanaipenda Simba na si mtu aliyeko Simba. Au ndo kusema na ninyi pia huwa mnazeeka?
Nakwambia hivi ungenijua usingeandika hivo,
Sema ndo hivo tena tuko hapa jfπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…