Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

Wakuu

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.

Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje

"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana.'"

Chadema wameamua kuteka media na wameweza.
 
Chadema kwa sasa ni vioja vitupu...

Retired Fundi Mchundo
 
Wakuu

Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.

Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje

"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana.'"

Hamna kitu hapa
 
Nani amuamini Wenje ambae ni Project ya Serikali?.
 
Naskia wamepiga 12 Bilion kutoka kwa Abdul. Wenje, Mbowe na Sugu
Na wewe umeambiwa na nani? Marehemu?Mtaje aliyekuambia?Au wewe umesikia tu.Huu ujinga wa kuzua umeanza kwa viongozi mpaka vikaragosi.Inasikitisha.Chadema imegeuka kundi la kuzua na kusutana.
 
Naskia wamepiga 12 Bilion kutoka kwa Abdul. Wenje, Mbowe na Sugu
Hizi pesa Abdul anapata nini kutoka Chadema mpaka atowe pesa zote hizi?
Hivi huwa mnadhani kila mtu hana akili ya kufikiri?

Lile kontena lilijaa kura feki Tunduma kama alivyotuaminisha Dr Slaa wakati wa Kikwete liko wapi?

Tutashitakiwa MIGA.
 
Back
Top Bottom