Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito yafichuliwa CHADEMA

Chadema wameamua kuteka media na wameweza.
 
Chadema kwa sasa ni vioja vitupu...

Retired Fundi Mchundo
 
Hamna kitu hapa
 
Nani amuamini Wenje ambae ni Project ya Serikali?.
 
Naskia wamepiga 12 Bilion kutoka kwa Abdul. Wenje, Mbowe na Sugu
Na wewe umeambiwa na nani? Marehemu?Mtaje aliyekuambia?Au wewe umesikia tu.Huu ujinga wa kuzua umeanza kwa viongozi mpaka vikaragosi.Inasikitisha.Chadema imegeuka kundi la kuzua na kusutana.
 
Naskia wamepiga 12 Bilion kutoka kwa Abdul. Wenje, Mbowe na Sugu
Hizi pesa Abdul anapata nini kutoka Chadema mpaka atowe pesa zote hizi?
Hivi huwa mnadhani kila mtu hana akili ya kufikiri?

Lile kontena lilijaa kura feki Tunduma kama alivyotuaminisha Dr Slaa wakati wa Kikwete liko wapi?

Tutashitakiwa MIGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…