Ezekiel Wenje galasa mpenda fedha ataisaidia nini CCM?

Kwa CHADEMA ya Lissu ambayo haipendi wanaolinda matumbo yao kuliko maslahi ya umma.
Huyo lisu unayemsifia leo kwani ni tofauti na yule aliyetusaliti kwa kukatiwa cha juu kwenye ujio wa Lowassa? Au kwa kuwa humjui ndiyo maana unajidamganya kuwa ni msafi?
 
Sababu ya kufukuzwa ni kufanya hujuma kwa kulipwa na ccm(ndio kununuliwa huko)

Najuaje waliofukuzwa na kuhama kwa hiari yao? Wewe umejuaje kuwa kuna walionunuliwa na polepole?
πŸ˜‚ Nyie kila anayehama chadema bc amenunuliwa πŸ˜‚
 
Kama uliiona interview ya mbunge mstaafu aitwaye Bwege, alisema kuna mtu ametanguliza vifaranga vyake Chaumma yeye atafuata baadaye.. Huyo ndiyo mama bata.
Mjini hapa, Kila mtu ashinde mechi zake........bwege amepoteza
 
Njaa siyo poa hata kidogo. Pamoja na ccm kumsababishia mateso ya kila aina, bado ameamua kwenda kuwalamba miguu!! So sad for him.
kila mwanasiasa ataenda ccm, ni swala la mda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…