Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Anazinguaa, Kila mechi tunashinda kamoja tuBENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazinguaa, Kila mechi tunashinda kamoja tuBENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
Wazee wa kichapo cha kizalendo 0-Miongoni mwa wanyama wakubwa watano (big 5) 1Vizuri kuleni na Wenzenu....Ngapi ngapi?
Mbona mmeuchuna...
Tupigwe tu maana benchika nae amekuwa hovyo sanaKuna goli hapa linanukia kwa JKT
Ni kipi hasa ambacho mashabiki mnakihitaji?BENCHIKA bado hujanishawishi..timu ndogo hivi JKT umeshindwa kuonyesha ukubwa...? Poor attacking..
Hii mechi ilipaniwa sana na jkt pamoja na utoMechi ndogo lakini imeleta pressure kubwa
Kuwa mshabiki wa bongo tabu sanaaTupigwe tu maana benchika nae amekuwa hovyo sana
Mashambulizi mwanzo mwisho mpaka maji waite mmaaNi kipi hasa ambacho mashabiki mnakihitaji?
Timu nzima inacheza ovyo nyie mnamuona saido tu.Tuache kulaumu mchezaji mmoja mmoja wakati timu nzima iko chini.leo mi kipa tu ndo yuko kwenye fomu.Kocha nae mzinguaji tu, Saidoo Bado yumo et
Cha kushukuru JKT wamechezea chance, Hilo tuu
Kwahiyo?Anazinguaa, Kila mechi tunashinda kamoja tu