F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

Dah πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜
Ndio nilikuwa narudia kuicheki mechi ya JKT vs Mnyama mkali hapa.
Muda wa Match leo nilikuwa busy balaa...

Anyway...points 3 muhimu.
Kesho mkitoa sare yenu ya kwanza Mzunguko huu wa pili inawagharimu.
 
Ndio nilikuwa narudia kuicheki mechi ya JKT vs Mnyama mkali hapa.
Muda wa Match leo nilikuwa busy balaa...

Anyway...points 3 muhimu.
Kesho mkitoa sare yenu ya kwanza Mzunguko huu wa pili inawagharimu.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜
 
Kwani wewe hukufungwa na simba khamsa bin subiani?
20240212_170117.jpg

Embu nioneshe picha kama hii wewe kwenye iyo siku yako ya goli 5🀣😁😁
 
Mbona inaonekana vibaya sana kama yalivyo maisha yako πŸ˜‚ bando lenyewe la kuunga unga weka iliyo na quality nzuri 😁😁🀣 nilishakwambia kama unataka pesa ya kula pm yangu Iko wazi njoo nikupe hela
Huwezi jua bwamdogo miaka hio soka lilikuwa tamu sana tofauti na la sasa uchawi na bahasha na majini kama yote
Btw mitandaoni tuna matajiri wengi kuliko uhalisia hiyo pesa kampe daktari akusaidie kuchomoa huo mwiko huko nyuma
 
Back
Top Bottom