Duuuh! Dakika tatu za mwisho ndo ziwafanye wamiliki kwa 53%Wapo sahihi wamemiliki mpilia Sana Dakika tatu za mwisho
Safi47' Bocco ametoka na ameingia Kagere upande wa Simba SC | Simba SC 3-0 Biashara United
Alipaswa kupewa NjanoFoul mbaya sana dhidi ya zimbwe
Refa anafanya balancingAlipaswa kupewa Njano
Benchi lote? Hiyo sahau mzee, matola hang'oki ngooooMimi ni mwanansimba ila kwa mwenendo Wa kocha wetu naombea tufungwe au tutoe sare na Biashar Leo ili benchi letu la ufundi litimuliwe