changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Huyu Chama ni mpya? Mechi nyingi za derby Chama anakuwa kakamatwa mpaka anatolewa nje.Naliangalia tena hili battle AZAM TV saa hizi, Eeeeh kumbe Chama Alitesa Kijiji.
Yaani Namwonea Huruma Mwamnyeto siku Akikutana na 'Mwamba Wa Lusaka'
Triple C Clotus Chota Chama.