F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

F.T: NBC Premier League | Simba SC 3 - 0 Biashara United | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Sema tena
Sasa Ni mwendo wa kila mtu kushinda mechi zake inshallah tutafika, no time to waste, kwa uweza wa alllah tutafikia lengo. Tushinde mechi zetu, tushinde mechi ijayo bila kuanfalia kilichotokea leo.
 
Itoshe tu kusema Simba upigaji penalty ni majanga
Kwa Siku Za Karibuni penati imekuwa Majanga....!
Lakini huko siku za Nyuma Simba ilikuwa inajitanabaisha kuwa bora Kwenye Mikwaju Ya Penati..Yaani Ungeweza Kusema Wapigaji Wa Penati Wa ...Kihistoria kama Jamaa Zetu fulani Wanavyotumia neno 'Kihistoria'.
Japo hata Tukuyu Star Pia ni Mabingwa Wa Kihistoria maana Upo Mwaka walichukua Ubingwa...! Povu la Uto rukhsa..
 
Hongereni kwa ushindi. Keshokutwa Jumapili tusisikie sasa zile kelele zenu! Maana mna nongwa sana nyinyi na ushindi wa Yanga.
 
Hongereni kwa ushindi. Keshokutwa Jumapili tusisikie sasa zile kelele zenu! Maana mna nongwa sana nyinyi na ushindi wa Yanga. Yaani kama wanga vile.
Yale magoli wangefunga yanga ungesikia kelele humu za kipa wa biashara kapewa bahasha, mara sijui mabeki wamepewa bahasha GSM wanatuharibia mpira wetu lakini wakishinda wao hawajadili udhaifu wa mpinzani wao imekuaje wanafungwa magoli kizembe.
 
Wana nongwa sana hawa viumbe. Halafu unakuta bado siku/masaa kadhaa, lile popoma lao linaanzisha uzi wa kuwapiga mkwara wachezaji wa timu pinzani na benchi lao la ufundi, huku likiwazushia kashfa ya uongo! Hovyo kabisa.
 
Hivi nyie mnaangalia mpira kweli? Kapombe hakuwepo wakati huo alishaumia na akatolewa na nafasi yake ikachukuliwa Isr

Hivi nyie mnaangalia mpira kweli? Kapombe hakuwepo wakati huo alishaumia na akatolewa na nafasi yake ikachukuliwa Israel Patrick
Sio lazma wote tuangalie, wengine tunafuatilia kwenye majukwaa kma hya...na Kikosi kilichoanza kinajulikana...
 
Naliangalia tena hili battle AZAM TV saa hizi, Eeeeh kumbe Chama Alitesa Kijiji.

Yaani Namwonea Huruma Mwamnyeto siku Akikutana na 'Mwamba Wa Lusaka'
Triple C Clotus Chota Chama.
 
Itokee Tumeenda Hatua Ya Penalty Nusu Fainali ASFC Yanga Tutamaliza Kazi Penalty 3 Za Mwanzo Tu [emoji23]
 
Sio lazma wote tuangalie, wengine tunafuatilia kwenye majukwaa kma hya...na Kikosi kilichoanza kinajulikana...
Kama unafutilia mbona kwenye Uzi dakika ya 30' tumeleta hiyo tukio la Kapombe kutolewa na Kuingia Patrick?

Angalia kwenye ubao hapa..!
 
Back
Top Bottom