Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
- Thread starter
-
- #61
aah kumbe arsenal leo mmetushangilia Man U,kweli maajabu!..ha ha
nimekumbuka ile mechi, lol!..bado nyie ELP ikianza, mpewe vichapoo..he he he
mkuu inawezekana ukawa best team lakini bado unahitaji deffenders na kipa....huwezi ukalinganisha Chelsea na Arsenal...all in all, preseason imeanza vibaya...full time...3 - 1
Aaah! Tunaondoa pepo mbaya wa kufungwa kabla hatujaanza ligi. It's just a new strategy to win a treble!:tongue::tongue:...ha ha, haya basi. Hongereni sana japo mnh, Chelsea ni misiba mfululizo!
...nitashangilia team yeyote itayocheza na Chelsea.aah kumbe arsenal leo mmetushangilia Man U,kweli maajabu!..ha ha
nimekumbuka ile mechi, lol!..bado nyie ELP ikianza, mpewe vichapoo..he he he
hatukuwashangilia tulikuwa tunatoa updates za game tu manake longtime si unajua tena lol.
...nitashangilia team yeyote itayocheza na Chelsea.
aah kumbe arsenal leo mmetushangilia Man U,kweli maajabu!..ha ha
nimekumbuka ile mechi, lol!..bado nyie ELP ikianza, mpewe vichapoo..he he he
AW,nimekusoma was kidding..mtatushangilia tukishinda EPL,ha ha..thanx kwa updates mkuu!!!
ha ha ha bila wasi wasi naona meanza kujaza kabati lenu au ndio cha mwisho?
Poleni sana jirani zangu
Poleni sana jirani zangu
...nitashangilia team yeyote itayocheza na Chelsea.
...nitashangilia team yeyote itayocheza na Chelsea.
Manager wangu AW Unamanisha nini hapo nilipo bold
Mkuu uliona matokeo ya mechi ya jana? Tulicheza sijui na Kikwajuni hile ni aibu tupu.kama wenger alipata usingizi jana basi atakuwa kaichoka Arsenal na namshangaa anatangaza nia ya kuongeza mkataba wakati hataki kurekebisha nafasi zenye upungufu.
Sucker punch ... ....