FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

FA Community Shield: Chelsea vs Man UTD

Acha kuwa kituko mkuu, inakuwaje unasema Arsenal best team wakati huohuo unasema inahitaji deffenders na kipa, sasa best team gani ambayo haijakamilika?!

mkuu inawezekana ukawa best team lakini bado unahitaji deffenders na kipa....huwezi ukalinganisha Chelsea na Arsenal...all in all, preseason imeanza vibaya...full time...3 - 1
 
Mpira ulikuwa mzuri sana, hongerini mashabiki wa man united sasa kweli msimu unaanza.

Noana wameweka mechi za kimataifa za kirafiki jumatano hili wachezaji wakaumie.Watu wametoka world cup juzi tu mara hii mechi ya kirafiki hata kutuliaza akili hawajatuliza bado kwenye club zao.
 
Hongera Manure kwa kushinda ngao ya hisani. The meanigful business start next weekend.
 
Unakumbuka kipindi kile niliku ban, kwenye UEFA?.....mimi ni Arsenal.....

aah kumbe arsenal leo mmetushangilia Man U,kweli maajabu!..ha ha
nimekumbuka ile mechi, lol!..bado nyie ELP ikianza, mpewe vichapoo..he he he
 
kijana CHICHARITO anatisha......good signing...........
 
"Wenger Wenger kesho kanunue kipa na beki acha utani mzee,hata kama umetuchoka sio unaleta utani wa kijinga jinga".


Nakuwa chizi karibuni manake noma ukiangalia timu zilivyojiandaa.
 
aah kumbe arsenal leo mmetushangilia Man U,kweli maajabu!..ha ha
nimekumbuka ile mechi, lol!..bado nyie ELP ikianza, mpewe vichapoo..he he he

Samahani sikuwa nashangialia MAN U, nilikuwa nashangilia kufungwa kwa Chelsea...
 
Back
Top Bottom