FA Cup: Man U vs Everton

FA Cup: Man U vs Everton

Dakika ya 73,

Everton wanapata kona ambayo haijazaa matunda
 
Sir Alex naona anaanza kukosa raha. Haikutarajiwa iwe ngumu hivi... hehehehe kaaazi kwelikweli
 
15 minutes to go, still Man U 0 - Everton 0.

The game seems to be tough 🙂
 
Man wanapata kona... Dakika ya 76 lakini haizai matunda. Walau Man sasa wameamka
 
Man wanaongeza mashambulizi, naona Evra sasa kazinduka
 
7 minutes to go. Still Man U 0 - Everton 0.

Ikiendelea hivi basi zitaongezwa dakika 30 za nyongeza?
 
dakika ya 84 bado bila kwa bila, mshindi lazima apatikane leo hivyo itakuwa ni extra time and then miguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu.
 
3 minutes to go. Still Man U 0 - Everton 0.

Icadon pls....
 
1 minutes to go. Still Man U 0 - Everton 0...
 
FULL TIME (90 minutes) . Still Man U 0 - Everton 0.
 
Dakika ya 93... Mpira umekwisha!

Ni penalti moja kwa moja?
 
SAF kamuingiza Beba tovu au ukipenda Berbatov
 
Extra time...

2nd Minute... Man U 0 - Everton 0
 
Dakika ya 4 (Extra time) Bado Man U 0 - Everton 0 lakini game limeanza kuonekana kuwa gumu pande zote. Man wanaweza kupata goli wakati wowote vilevile Everton
 
Extra time imeanza, Everton inaelekea kama wanategea ama wamechoka. Hivyo MANU wanakuwa na possession kwa muda mrefu kidogo ukilinganisha na Everton.
 
Back
Top Bottom