magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Leo katika mchezo wa mwisho wa kombe la FA mwamuzi alisimamisha mchezo kwa dakika kadhaa ili kuruhusu mchezaji wa Manchester United Noussair Mazraoui aweze kufuturu.
My Take : Dunia ingekuwa sehemu salama kama wote tungeishi kwa kupendana hivi pasi kujali imani zetu, dini zetu. Leo Noussair Mazraoui na Mo Salah wanatendewa mema na watu wasio Waislamu kesho wanawatakia kheri ya Christmass wewe muumini unakasirika unaenda kumlaani kwenye ukurasa wake.
Hivi mnajisikiaje Watu wa imani mbalimbali wanapowatakia heri ya mfungo mwema wa Ramadhan na mnazipokea vizuri tu lakini kwenu akitokea muumini mmoja akamtakia heri ya sikukuu hata Msabato anaonekana ameasi? Hamuoni kama huo ni ubinafsi? TUPENDANE NDUGU ZANGU.