magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
- Thread starter
- #21
Nadhani hili jambo lina ukweli sababu hata Uarabuni Uislamu ndio dini kubwa na inawezekana kuna sheria za kuzuia kula hadharani.Ushawahi kumuona Bakhresa au Mo Dewji ana complicate na ishu za dini???
Maskini ndio wana muda huo wa kuenezeza chuki..
Lakini hatuonagi ujinga kama huu wakukamata hata anayejipikia ndani kwake na kuwapelekea wasiofunga ambao nao hawali hicho chakula hadharani.
Nafikiri mtu mweusi ana namna yake yakipekee ya anavyoiprocess dini.
Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na...