Hahhahha hata kama acha niwatakie tu kila la heri
Dua la Kuku hili Dada.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, hii ndio Raha ya Utani wa Jadi,safi sanaHahaaa. Halafu huwa mnasema Wananchi tunajua kuhama timu hapa hiki ni nini Dada leo?
Akili ya Kimikia mikia aka makalio FC.... Nyie matajiri mliliwa kiboga day 1 na wajeda wa Kigoma.Hii ndo ligi size ya vyura! Yale majamaa ya Vita Club au Al Ahli yangeichapa hii Vyura Bukubuku aka Muamala FC hata goli 13 bila!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hisani ya mnene mmojaUtatumika rigi kuu awamu ijayo maana kwa mpira huu namungo atapanda daraja na huu ndiyo uwanja wao wa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niwaitie wahuni wa stand....Akili ya Kimikia mikia aka makalio FC.... Nyie matajiri mliliwa kiboga day 1 na wajeda wa Kigoma.
Hao Al Ahli hawana hamu na Yanga, mwaka ule wamshukuru Bahanuzi walishaelekea kibra! Sisi sio nyie wazee wa khamsa!Hii ndo ligi size ya vyura! Yale majamaa ya Vita Club au Al Ahli yangeichapa hii Vyura Bukubuku aka Muamala FC hata goli 13 bila!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si hivyo tu hata mpira wanacheza. Au hujawaona yanga walivyotolewa mafua?Kwa hisani ya mnene mmoja
Mbona Wewe lilikushinda? Yanga angepoteza kwako si ungekodi mdundiko kabisahahahaha Kombe la kuku ilo majirani meno yamewatoka mpaka magego tunayaona
Baelezeage jirani hao Mikia FC.Mbona Wewe lilikushinda? Yanga angepoteza kwako si ungekodi mdundiko kabisa
Wanaongea hadi wanapitiliza wakati wao walishindwaBaelezeage jirani hao Mikia FC.
Mbona kocha wa Lipuli "Matola" na huwa anawatoa jasho?!Kocha wa Namungo "Jembe Ulaya" unategemea Yanga ifungwe!
Mi mwenyewe aliniacha mdomo wazi aiseee.
Ndo mnagundua leo
Mtani hilo Kombe la Kuku nyie mlivyofungwa na mashujaa mliumia badala ya kuchekelea. Teh.hahahaha Kombe la kuku ilo majirani meno yamewatoka mpaka magego tunayaona
Shemela ulimuona Kindoki jana?Baelezeage jirani hao Mikia FC.
Papa Kindoki Jana kama Peter ShmeikelShemela ulimuona Kindoki jana?
Tunaomba turudie mechi na ninyi mumwekeShemela ulimuona Kindoki jana?
Hahahaaa. Sawa.