Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Anatisha kama njaa shemela.Shemela ulimuona Kindoki jana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatisha kama njaa shemela.Shemela ulimuona Kindoki jana?
watu bana....hawakosi la kusema.Kocha wa Namungo "Jembe Ulaya" unategemea Yanga ifungwe!
Haha mtani bana hongera zako za ushindi kwanza; kituo chenu kinachofuata ni wapiMtani hilo Kombe la Kuku nyie mlivyofungwa na mashujaa mliumia badala ya kuchekelea. Teh.
Cha zaidi mkawa mnamlaumu Kocha kwa kikosi alichokiweka. Au sio nyiee?
Tushawazowea hao Shem.watu bana....hawakosi la kusema.
Nimekuja aiseee.Haha mtani bana hongera zako za ushindi kwanza; kituo chenu kinachofuata ni wapi
hahahaha!!! mi na huruma sana mtani, mambo ya kupakana matope na kuchafuana hadharani hata kama ni kweli ama uwongo si pouwa, ndomana nikajikuta naingia tu mtani, lakini na wewe hajat uliingiaje mule na huo ushungiNimekuja aiseee.
Hivi kule umefikaje Mtani. Mbona hufananii? 😅😅😅
Hahaaa. Mtani watu wa huku akili zao wanazijua wenyewe Mtani.hahahaha!!! mi na huruma sana mtani, mambo ya kupakana matope na kuchafuana hadharani hata kama ni kweli ama uwongo si pouwa, ndomana nikajikuta naingia tu mtani, lakini na wewe hajat uliingiaje mule na huo ushungi
Japo mimi wa Msimbazi natumai tuta kwenda gwaride moja... 😁😁😁Chumchang Changchum sisi tushafika huku. 😅😅😅😅
Duuh! Uko Mikia na wewe lol.Japo mimi wa Msimbazi natumai tuta kwenda gwaride moja... [emoji16][emoji16][emoji16]
haina shida mtani kuchungulia Mara mmoja haina ubaya!!!! niliachaga fuatulia nyuzi za mule sababu watu walikuwa wanabebishana sana mtani" sikuhizi mimi na mdau wa kilimo na huku mtaniHahaaa. Mtani watu wa huku akili zao wanazijua wenyewe Mtani.
Huwezi amini nimejikuta tu nimo nafuatilia. 🙈🙈🙈
Hongera kwa kuwa chama kubwa, huku ndo penyeweJapo mimi wa Msimbazi natumai tuta kwenda gwaride moja... 😁😁😁
mabingwa wa tarajiwa wa CAF 2018/2019Duuh! Uko Mikia na wewe lol.
Haina shida Mkuu.
haina shida mtani kuchungulia Mara mmoja haina ubaya!!!! niliachaga fuatulia nyuzi za mule sababu watu walikuwa wanabebishana sana mtani" sikuhizi mimi na mdau wa kilimo na huku mtani
Hahahah lakini mimi mtani muelewa..Duuh! Uko Mikia na wewe lol.
Haina shida Mkuu.
Tatizo Shadeeya anatoka chama korofi.Hongera kwa kuwa chama kubwa, huku ndo penyewe
Dada etu shadeya namuonea huruma sana, kikubwa tuwe naye karibu sana asije pata magonjwa ya moyo na presha za Mara kwa maraTatizo Shadeeya anatoka chama korofi.