FA CUP: NAMUNGO FC vs YANGA FC

Mtani hilo Kombe la Kuku nyie mlivyofungwa na mashujaa mliumia badala ya kuchekelea. Teh.

Cha zaidi mkawa mnamlaumu Kocha kwa kikosi alichokiweka. Au sio nyiee?
Haha mtani bana hongera zako za ushindi kwanza; kituo chenu kinachofuata ni wapi
 
Nimekuja aiseee.

Hivi kule umefikaje Mtani. Mbona hufananii? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
hahahaha!!! mi na huruma sana mtani, mambo ya kupakana matope na kuchafuana hadharani hata kama ni kweli ama uwongo si pouwa, ndomana nikajikuta naingia tu mtani, lakini na wewe hajat uliingiaje mule na huo ushungi
 
Hahaaa. Mtani watu wa huku akili zao wanazijua wenyewe Mtani.

Huwezi amini nimejikuta tu nimo nafuatilia. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Hahaaa. Mtani watu wa huku akili zao wanazijua wenyewe Mtani.

Huwezi amini nimejikuta tu nimo nafuatilia. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
haina shida mtani kuchungulia Mara mmoja haina ubaya!!!! niliachaga fuatulia nyuzi za mule sababu watu walikuwa wanabebishana sana mtani" sikuhizi mimi na mdau wa kilimo na huku mtani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…