Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nisamehe bure Mkuu kwani huwa sikuoni oni siku hizi ndio maana. Ila kwa kuwa nimekuona leo hofu ondoa Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe bure Mkuu kwani huwa sikuoni oni siku hizi ndio maana. Ila kwa kuwa nimekuona leo hofu ondoa Mkuu.
Usijali mkuu.. Sa ivi mambo ni mengi muda mchache. Kwa hiyo kutokea humu ni nadra sana.Nisamehe bure Mkuu kwani huwa sikuoni oni siku hizi ndio maana. Ila kwa kuwa nimekuona leo hofu ondoa Mkuu.
Acha kabisa Mkuu. Ndio kama hivi Chance ikipatikana tunakuja kuchungulia kidogo.Usijali mkuu.. Sa ivi mambo ni mengi muda mchache. Kwa hiyo kutokea humu ni nadra sana.
Tuko pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya mtani kila la kheri, mwakani na wewe nataka upande ndege sitaki kukuachaHalf time
0 - 0
Ila kweli leo jumapili hii kauli ya pili naipata leo toka kwa Watani zangu.Aya mtani kila la kheri, mwakani na wewe nataka upande ndege sitaki kukuacha
Hhahhha ngoma draw dada hakuna namna hivi naanzaje kuitakia yanga ishindeHahaaa. Halafu huwa mnasema Wananchi tunajua kuhama timu hapa hiki ni nini Dada leo?
imetokea moyoni mtani!!! Sema na hofu mtani yaliyo tukuta kwa mashujaa yanaweza yakawakuta na nyie leoIla kweli leo jumapili hii kauli ya pili naipata leo toka kwa Watani zangu.
Kila la kheri ya kwanza imetoka kwa 100 Likes naona na wewe umeitoa ya pili.
Ahsanteni kama zinatoka moyoni. 🙏🙏
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeshazizoea hizi
Sidhani Mtani japo dkk 90 ndio zitaongea.imetokea moyoni mtani!!! Sema na hofu mtani yaliyo tukuta kwa mashujaa yanaweza yakawakuta na nyie leo
Ndio hapo sasa Dada.Hhahhha ngoma draw dada hakuna namna hivi naanzaje kuitakia yanga ishinde
😂😂😂 nisingeandika au?
😂😂😂