Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Fabrice Ngoma wachambuzi wa ndani na nje ya Nchi wanamuita Midfielder teacher, anapiga pass kwa usahii, anakaba kwa akili nyingi sana ni kiungo aliyekamilika na kiongozi mzuri sana uwanjani
Khalid Aucho Komwe Jamaa anapiga pass mbovu sana pass zake nyingi hazifiki kwa mlengwa, hatumii akili kwenye kukaba anatumia nguvu nyingi, anakaba kama linguruwe lililokurupushwa porini anaingia mzima mzima vifuti,viwiko Ni kiungo anaeongoza kwa kucheza rafu