Fabrice Ngoma ni Midfielder Bora kuliko Khalid Aucho!

Kama Aucho ambaye tank linaanza kuisha mafuta anafanishwa na Mgoma ambaye amerudisha kiwango hivi karibuni sasa wangefananishwa wakiwa wote kwenye peak zao ingekuwaje? Makolo napata shaka kama huwa mnaangalia mpira nyie. Unasema ndio kiungo anayecheza rafu hivi umemuangalia Akaminko wewe?

Msiangalie au kuuongelea mpira kuizunguka Simba tu. Tazameni mpira kote kwa sababu hata positions tu hawachezi sawa ila uko hapa kuwafananisha.
Unajidai unafuatilia mpira wakati umemuona Ngoma akiwa Simba tu na Aucho akiwa Yanga tu?Umeshawahi kumwona Ngoma katika peak yake akiwa AS Vita iliyo bora na Raja Casablanca wakitwaa kombe la Shirikisho?Wakati huo Aucho alikuwa anacheza timu ya Makasa ambayo ni kama Gwambina tu ya Misri ambayo sasa imeshuka daraja,maana yake wakiwa Ligi ya Misri Himid Mao alikuwa bora na anajulikana kuliko Aucho.
 
Maelezo murua kabisa😄
 
Hii comment uliyoamdika kimantiki haina tofauti hiyo sentensi niliyobold. Badala uzungumzie mchezaji unaanza kuikandia timu aliyokua anachezea.
 
Fabrice Ngoma wachambuzi wa ndani na nje ya Nchi wanamuita Midfielder teacher, anapiga pass kwa usahii, anakaba kwa akili nyingi sana ni kiungo aliyekamilika na kiongozi mzuri sana uwanjani

Khalid Aucho Komwe Jamaa anapiga pass mbovu sana pass zake nyingi hazifiki kwa mlengwa, hatumii akili kwenye kukaba anatumia nguvu nyingi, anakaba kama linguruwe lililokurupushwa porini anaingia mzima mzima vifuti,viwiko Ni kiungo anaeongoza kwa kucheza rafu
Unaanzisha Maada za kufananisha wachezaji wa Kigeni? Tanzania tu apenda sana kushobokea wageni, si bure hata wanapewa uraia kama. jugu, sababu ni kama.huzi za kutwa nzima kuwashobokea, kuna siku watawashikisha ukuta
 
Ni upuuzi kumfanisha Ngoma na Aucho.
Wameshakutana mara kadhaa kwenye mechi wakipambana, Ngoma hupotezwa na Si ngoma tu uwa kinakua kikundi cha wachezaji wa Kiungo wa Simba.

Kikundi chote hupotezwa na Daktari wa mpira Khalid Aucho Captain wa timu ya taifa ya Uganda.

Khalid anauwezo na Uzoefu Mkubwa kuliko wachezaji wote katika ligi ya Bongo
Khalidi Amecheza ligikuu ya South akiwa na Boroka, amecheza Ulaya akiwa na Red star Belgrade, Amecheza ligikuu India akiwa na East Bengal, Amecheza Misri akiwa na Makassa.
Kwasasa ndio amerudi kumalizia soka apa Tanzania akiwa na kiwango iki.

Ngoma ametoka As vita, kaenda Morocco kacheza nusu msimu aka shindwa akaenda kwa mkopo Sudani nako kacheza nusu msimu akaja kusajiliwa Simba.

Sasa kumfananisha Aucho na Ngoma ni sawa kufananisha Mlima na kichuguu.
NOTE: Kiwango Cha Aucho unacho kiona apa Tanzani ni nusu ya uwezo aliokua nao akiwa Gol mahia ya Kenya.
 
Unajidai unafuatilia mpira wakati umemuona Ngoma akiwa Simba tu na Aucho akiwa Yanga tu?Umeshawahi kumwona Ngoma katika peak yake akiwa AS Vita iliyo bora na Raja Casablanca wakitwaa kombe la Shirikisho?Wakati huo Aucho alikuwa anacheza timu ya Makasa ambayo ni kama Gwambina tu ya Misri ambayo sasa imeshuka daraja,maana yake wakiwa Ligi ya Misri Himid Mao alikuwa bora na anajulikana kuliko Aucho.
Umemaliza kila kitu. [emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kama Aucho ambaye tank linaanza kuisha mafuta anafanishwa na Ngoma ambaye amerudisha kiwango hivi karibuni sasa wangefananishwa wakiwa wote kwenye peak zao ingekuwaje? Makolo napata shaka kama huwa mnaangalia mpira nyie. Unasema ndio kiungo anayecheza rafu hivi umemuangalia Akaminko wewe?

Msiangalie au kuuongelea mpira kuizunguka Simba tu. Tazameni mpira kote kwa sababu hata positions tu hawachezi sawa ila uko hapa kuwafananisha.
Unajua ngoma alipokuwa kwenye peak alikuwa wapi? Hujui tukujuze?

Ngoma alipokuwa kwenye peak alicheza fainali ya CAFCC akiwa na VITA CLUB,akatimkia RAJA CASABLANCA akacheza fainali ya CAFCC na akatwaa ubingwa tena akicheza kwa kiwango kikubwa.

FABRICE LUAMBA NGOMA ndiyo mchezaji pekee nchi hii aliyeshinda kombe la CAFCC hakuna mwingine.

Aucho alichemka uarabuni akatemwa YANGA wakamuokota kama kapi au ganda la muwa.

"NGOMA UMEMUONA NYAKATI ZA MWISHO AKIWA ANAMALIZIA SOKA LAKE HUJAMUONA AKIWA KWENYE PEAK YAKE
 
Peak ya Aucho ni ipi? Na lini alifika kwenye peak?acheni kumpa sifa za kijinga.
Kama Aucho ambaye tank linaanza kuisha mafuta anafanishwa na Ngoma ambaye amerudisha kiwango hivi karibuni sasa wangefananishwa wakiwa wote kwenye peak zao ingekuwaje? Makolo napata shaka kama huwa mnaangalia mpira nyie. Unasema ndio kiungo anayecheza rafu hivi umemuangalia Akaminko wewe?

Msiangalie au kuuongelea mpira kuizunguka Simba tu. Tazameni mpira kote kwa sababu hata positions tu hawachezi sawa ila uko hapa kuwafananisha.
 
Ni upuuzi kumfanisha Ngoma na Aucho.
Wameshakutana mara kadhaa kwenye mechi wakipambana, Ngoma hupotezwa na Si ngoma tu uwa kinakua kikundi cha wachezaji wa Kiungo wa Simba.

Kikundi chote hupotezwa na Daktari wa mpira Khalid Aucho Captain wa timu ya taifa ya Uganda.

Khalid anauwezo na Uzoefu Mkubwa kuliko wachezaji wote katika ligi ya Bongo
Khalidi Amecheza ligikuu ya South akiwa na Boroka, amecheza Ulaya akiwa na Red star Belgrade, Amecheza ligikuu India akiwa na East Bengal, Amecheza Misri akiwa na Makassa.
Kwasasa ndio amerudi kumalizia soka apa Tanzania akiwa na kiwango iki.

Ngoma ametoka As vita, kaenda Morocco kacheza nusu msimu aka shindwa akaenda kwa mkopo Sudani nako kacheza nusu msimu akaja kusajiliwa Simba.

Sasa kumfananisha Aucho na Ngoma ni sawa kufananisha Mlima na kichuguu.
NOTE: Kiwango Cha Aucho unacho kiona apa Tanzani ni nusu ya uwezo aliokua nao akiwa Gol mahia ya Kenya.
Amewahi kushinda kombe gani?
 
Peak ya Aucho ni ipi? Na lini alifika kwenye peak?acheni kumpa sifa za kijinga.
Dr Aucho yeye ndio Peak ya viungo wa ulinzi wote katika Ligi ya Bongo.

Wachezaji wote wa ligi kuu na madaraja ya Chini wakiulizwa kiungo bora wa Ulinzi wengi kama si wote wanataka wacheze kama Aucho.
Ngoma kazaliwa 94 Aucho kazaliwa 93 lakini Energy anayokupa aucho ni kama mtoto wa 2000.

Miaka 32 lakini yeye Dr Aucho ndiye Power house ya Young Africans.

Kumfananisha Ngoma na Aucho nikumuonea Ngoma ambaye kuna muda anawekwa nje na Kagoma.
 
Fabrice Ngoma wachambuzi wa ndani na nje ya Nchi wanamuita Midfielder teacher, anapiga pass kwa usahii, anakaba kwa akili nyingi sana ni kiungo aliyekamilika na kiongozi mzuri sana uwanjani

Khalid Aucho Komwe Jamaa anapiga pass mbovu sana pass zake nyingi hazifiki kwa mlengwa, hatumii akili kwenye kukaba anatumia nguvu nyingi, anakaba kama linguruwe lililokurupushwa porini anaingia mzima mzima vifuti,viwiko Ni kiungo anaeongoza kwa kucheza rafu
Kichwa chako mkuu kimebebelea makamasi wewe unafikri kina ubongo! Kati ya midfielders wanaoongoza kwa kupiga pass kwa sahihi huwezi kuacha kumtaja Aucho! Midfielders wanaojua kunyang'anya mipira huwezi kuacha kumtaja Aucho
 
FABRICE LUAMBA MWAMBA NGOMA ndiyo mchezaji pekee HAPA TANZANIA aliyeshinda kombe la CAF kwa maana ya CAFCC hakuna mwingine.

KHALID AUCHO baada ya kufeli amekuja kujipata uzeeni akiwa na UTOPOLO NA PEAK YA JUU amekuja kui hit akiwa na UTO.
 
Dr Aucho yeye ndio Peak ya viungo wa ulinzi wote katika Ligi ya Bongo.

Wachezaji wote wa ligi kuu na madaraja ya Chini wakiulizwa kiungo bora wa Ulinzi wengi kama si wote wanataka wacheze kama Aucho.
Ngoma kazaliwa 94 Aucho kazaliwa 93 lakini Energy anayokupa aucho ni kama mtoto wa 2000.

Miaka 32 lakini yeye Dr Aucho ndiye Power house ya Young Africans.

Kumfananisha Ngoma na Aucho nikumuonea Ngoma ambaye kuna muda anawekwa nje na Kagoma.
Labda peak kwenye club ya Yanga na siyo ligi ,anazidiwa hata na Kagoma
 
Aucho alichemka uarabuni akatemwa YANGA wakamuokota kama kapi au ganda la muwa
Hamuoni aibu mchezaji aliyetupwa na kuokotwa kama ganda la muwa leo mnamfanisha na mchezaji mwenye CAF CL. Halafu naona kama umepanic na mimi nimesema amerudisha kiwango alikua anapigwa benchi na Mavambo. Hata akiwa kwenye ubora wake bado ni mtoto mdogo sana Aucho japo kuwa wanacheza positions tofauti.
 
Peak ya Aucho ni ipi? Na lini alifika kwenye peak?acheni kumpa sifa za kijinga.
Mdogo wangu ushabiki usikupe upofu. Fungua bongo yako angalia mpira kama burudani utaona mengi, sasa hivi kwa hii mentality yako unajinyima vingi sana
 
Hamuoni aibu mchezaji aliyetupwa na kuokotwa kama ganda la muwa leo mnamfanisha na mchezaji mwenye CAF CL. Halafu naona kama umepanic na mimi nimesema amerudisha kiwango alikua anapigwa benchi na Mavambo. Hata akiwa kwenye ubora wake bado ni mtoto mdogo sana Aucho japo kuwa wanacheza positions tofauti.
Aucho kachukua CAF CHAMPIONS LEAGUE AKIWA NA TIMU GANI?
 
Fabrice Ngoma wachambuzi wa ndani na nje ya Nchi wanamuita Midfielder teacher, anapiga pass kwa usahii, anakaba kwa akili nyingi sana ni kiungo aliyekamilika na kiongozi mzuri sana uwanjani

Khalid Aucho Komwe Jamaa anapiga pass mbovu sana pass zake nyingi hazifiki kwa mlengwa, hatumii akili kwenye kukaba anatumia nguvu nyingi, anakaba kama linguruwe lililokurupushwa porini anaingia mzima mzima vifuti,viwiko Ni kiungo anaeongoza kwa kucheza rafu
Acha kufananisha vitu vya ajabu na Dr Khalid Aucho
 
Back
Top Bottom