Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Hao wote uliowataja hapo ni Ngoma peke yake mwenye career nzuri angalau wanafuata Chama na Aucho.Yale yale ya chama na pacome 😂
Aucho atabaki kuwa Aucho na ngoma atabaki kuwa ngoma
Umeanza kujichukiza!Hicho ndicho mnachokiwa makolo..ngoma aliyefufuka juzi tia maji tia maji au ngoma gani?
Umemaliza kila kitu mkuuNitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana
i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.
WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
Mchezaji pekee aliyeshinda kombe la CAF HAKUNA MWINGINE ISIPOKUWA YEYE TU.Hicho ndicho mnachokiwa makolo..ngoma aliyefufuka juzi tia maji tia maji au ngoma gani?
Haiondoi ukweli kua Ngoma ndo Kiungo bora dhidi ya auchoYale yale ya chama na pacome [emoji23]
Aucho atabaki kuwa Aucho na ngoma atabaki kuwa ngoma
Umjui Ngoma Kijana Chukua mda jifunzeHicho ndicho mnachokiwa makolo..ngoma aliyefufuka juzi tia maji tia maji au ngoma gani?
Unajua ball kakaNitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana
i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.
WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
Utakua na changamoto ya afya ya akili kijana wai tibaAucho Yuko good bhn,fananisha mchezaji mwingine labdah useme Ngoma Vs James Akaminko
Au Ngoma Vs Mutale tutakuelewa,hata Simba wenyewe wanamwelewa Aucho
Unayo ww mbona 😀Aucho ni next level....Yule ni Namba 8,ila sahivi anacheza 6 Yanga no problem....Chezesha Ngoma Namba 6 uone inavovuja dadeqUtakua na changamoto ya afya ya akili kijana wai tiba
Wameanza vimdomo hawa watani.Yale yale ya chama na pacome 😂
Aucho atabaki kuwa Aucho na ngoma atabaki kuwa ngoma