Fabrice Ngoma ni mnyama

Fabrice Ngoma ni mnyama

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Wachezaji wa kigeni hadi sasaivi tumezidisha naona kabisa Banda na sakho hawatakuwepo msimu huu

1689331548188.png

FB_IMG_16893302348682475.jpg

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman kwa mkataba wa miaka miwili.

Ngoma (29) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kati akiwa na uzoefu na michuano ya Kimataifa amewahi kuvitumikia vilabu vya AS Vita ya DRC na Raja Casablanca ya Morocco.
 
Aisee..sasa itakuwaje
 
Back
Top Bottom