Fabrice Ngoma ni mnyama

Fabrice Ngoma ni mnyama

Sasa utopolo itakuwaje

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman kwa mkataba wa miaka miwili.

Ngoma (29) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kati akiwa na uzoefu na michuano ya Kimataifa amewahi kuvitumikia vilabu vya AS Vita ya DRC na Raja Casablanca ya Morocco.
 
Vp ile kesi iliyofunguliwa na Al Hilal kwa Ngoma, je wakishinda ?
 
Mzamiru Atafute timu, Huo Moto wa Kanoute ni Ngoma Utakuwa Balaaaa
Mzamiru hawezi kuondoka ili kuboost number ya local players. Timu haiwezi kuingia wageni wote.
International game wanatakiwa atleast watatu, wa maana hapo ni Zimbwe, Kapombe na yeye. Manula majeruhi
 
Back
Top Bottom