Fabrice Ngoma ni mnyama


πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman kwa mkataba wa miaka miwili.

Ngoma (29) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye pia anamudu kucheza nafasi ya beki wa kati akiwa na uzoefu na michuano ya Kimataifa amewahi kuvitumikia vilabu vya AS Vita ya DRC na Raja Casablanca ya Morocco.
 
Aisee..sasa itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…