Facaulty nzur ya engineering

Facaulty nzur ya engineering

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Smahann wanajf nmemalza form4 nataka niapply dit ss cjui facaulty nzur kwa v2 vyote kwa ujuml ni ip
 
petroleum engineering,civil engineering,water resources and irrigation engineering,
 
ni bora akawe fundi mchundo wa mashine( X- ray, CT scan ...) zenye kuwezesha tiba mahospitalini.
 
kwani anaye manufacture hizo x-ray unamjua amesomea nn.

tumia akili kumshauri nq usifikirie kuwa mehanical ni kuchonga vyuma pekee.

mbona udactari watu wanashika mavi na kuyanusa sembuse kuchonga vyumaaa.nenda migonini uone watu wanavyo piga kaZi kwa fani za kiume.
 
na fani za kike ni zipi mkuu.
 
Za kike ni kike ni arts na telecomunication.

Tafuta engineers wa kike wa mechanical hapa nchini.

Ukiwapata 10 ktk 100 ndipo utaamini.
 
Hyo biomedical inahucana na nn
 
Jaman ndg zng hlf mbona nyumban naambiw kuw wanaoapply ss hawapew mkop kwny dgree rabd kw dipl ya udaktar na ualm,hv n kwel au
 
kwani anaye manufacture hizo x-ray unamjua amesomea nn.

tumia akili kumshauri nq usifikirie kuwa mehanical ni kuchonga vyuma pekee.

mbona udactari watu wanashika mavi na kuyanusa sembuse kuchonga vyumaaa.nenda migonini uone watu wanavyo piga kaZi kwa fani za kiume.

keep-calm-and-use-your-brain-15.png
 
Jaman ndg zng hlf mbona nyumban naambiw kuw wanaoapply ss hawapew mkop kwny dgree rabd kw dipl ya udaktar na ualm,hv n kwel au

kwa DIT waliokuwa wanakipaumbele cha kupatiwa pesa na serikali ni wale wote waliochaguliwa kama direct entrants kutoka shuleni pia na wa mature entrants( wanaofanya mtihani bila ya kupitia pre entry ili kupata nafasi ya kusoma) na baadhi ya wanaoapply tofauti na kutoka shuleni moja kwa moja wenye vigezo vya kuwa sponsored na serikali. kwa watakoingia mwaka huu itakuwa rahisi ukienda kuulizia pale chuoni watakuelewesha na pengine kuondoa hofu yako kama utakuwa umekidhi sifa za kuwa sponsered na serikali.
 
kwani anaye manufacture hizo x-ray unamjua amesomea nn.

tumia akili kumshauri nq usifikirie kuwa mehanical ni kuchonga vyuma pekee.

mbona udactari watu wanashika mavi na kuyanusa sembuse kuchonga vyumaaa.nenda migonini uone watu wanavyo piga kaZi kwa fani za kiume.

Kijana unaiongelea Mechanical engineering kana kwamba Tz nzima umesoma peke yako. Kiufupi kwa sasa inavyofanyika maviwandani ni haina tija hasa kwa kuanzia level ya diploma kushuka madaraja ya chini, kazi ni ngumu( ndiyo maana kwako ya kuwa ya kiume) halafu maslahi ni hafifu. hivyo nakubaliana na daktari mnusa kinyesi asiyechoshwa na kazi nzito ambapo yenye kuendana na maslahi kimapato.
 
Nenda dodoma kasoma diploma ya mafuta au madini!
 
Mm nina 2.20 ,math bplus ,engplus ,chem c,phybplus ,kisw b,bio b,hist d,civ c,geo c sasa ntegemee uhkka kupata chuo au nianze kupga tuit ya advance
 
Jaman ndg zng hlf mbona nyumban naambiw kuw wanaoapply ss hawapew mkop kwny dgree rabd kw dipl ya udaktar na ualm,hv n kwel au

Uliandika vyuo vya ufundi kweny ile form yako ya form four ?

Kama ndio basi utasoma diploma yako under government sponsership

Utapewa kila kitu kuanzia chakula mbka hela ya field

Na ukiamua kuendeleza degree bado utapewa mkopo.Usiwr na wasi dogo
 
Thanks bro saf sana kaka
 
Smahann wanajf nmemalza form4 nataka niapply dit ss cjui facaulty nzur kwa v2 vyote kwa ujuml ni ip

Mi nafikir kila course ina umuhmu kweny maendeleo ya sayansi na teknolojia nchin. Kinachobakia ni wap ambapo kipaj chako kipo katka hzo course
 
Back
Top Bottom