Facebook bado wanaona jina "Bin laden" kama (u)gaidi!

Bin laden mwenyewe dunia imeanza kumsahau na mtandao wake wa al qaeda. Isis waliokuja hivi karibuni wametrend na wanapotea sambamba na islamic state. Huyo gaidi mkuu kuwahi kutokea duniani na kujipatia umaarufu mkubwa kwa kuwa na genge lake la kimataifa alishapotea na utisho wake haupo tena
 
Kwamba una mwanao anaitwa Bin Laden ulikuwa una search kama utampata?

Useme mapema watu tujue tunakuepukaje kabla hayajatukuta ya Septemba 11
 
Back
Top Bottom