Bin laden mwenyewe dunia imeanza kumsahau na mtandao wake wa al qaeda. Isis waliokuja hivi karibuni wametrend na wanapotea sambamba na islamic state. Huyo gaidi mkuu kuwahi kutokea duniani na kujipatia umaarufu mkubwa kwa kuwa na genge lake la kimataifa alishapotea na utisho wake haupo tena