Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa kweli bro jamaa wamefanya ubunifu mnoo kipindi ambacho madj hawana kazi au chache.. Wnapatia riziki pale..Nice watu wanaojua kutumia social platforms kupiga hela,wengine wanalalamika wenzao wanaumiza vichwa
Ndiyo mkuuCorona hatari Club Zimefungwa
Ile page safi sana. DJ JD alifanya weekend yangu iwe safi kabisa. Pongezi nyingi kwa Dj Luke Joe kwa hizi initiative bongo djs Facebook page.
Huwa unapita mzee mwenzangu?Ile page safi sana. DJ JD alifanya weekend yangu iwe safi kabisa. Pongezi nyingi kwa Dj Luke Joe kwa hizi initiative bongo djs Facebook page.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli sema DJ d Ommy sound yake huwa haiskiki freshNiliona hata Dj crush wa Kilimanjaro alifanya hivyo day moja
DJ d Ommy sound yake huwa haiskiki fresh.Naona hata Dj dOmmy anafanya iyo
Nielekeze jinsi ya kucopy hapaWeka facebook link yao.
Naicopy vipi hapa mpka leo sijuagiPeyana Link, tafadhali
Siku za wakongwe sikosi tena na connect speaker kabisa [emoji41][emoji41]huwa unapita mzee mwenzangu?
Nimejaribu lakini inasumbua. I think kama una Facebook account uki search bongo djs utapata hilo group then una join.Naicopy vipi hapa mpka leo sijuagi
nilishajiunga zamani mkuu. nafatiliaga ila kuna jamaa kaomba link yake iwekwe hapa..Nimejaribu lakini inasumbua. I think kama una Facebook account uki search bongo djs utapata hilo group then una join.
Within the group unaweza ku search your favourite dj e.g DJ JD then utapata recorded video lakini pia wanapost ratiba ya siku kwa madj watakaokuwa live. Ni nzuri maana unapata non stop music za kila aina kutoka djs tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app