Facebook Bongo DJ's burudani mpya mjini

ki vipi bro!! mbona yuko poa sana hasa kwenye "Beat Matching" au playlist yake huwa haikuvutii?
Playlist iko safi kaka mwanzo alikuwa sound yake akianza kumix haisikiki fresh labda camera aliotegsha inasmbua.

Msikilize pale DJ kycee from USA uyu mbongo ni nyokooo bro
 
Kuna fala anaitwa dj lycée mshkaj anapga uko majuu
Akiwaga na ratba mule kweny group huwa panawakaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…