utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 323
me naamini lengo la facebook sio hili... Sisi ndio tumekuwa limbukeniz.. Mtu anaenda kabisa photopoint jus for a profile pic ya facebook? Na huyo ana mpenzi.
Comments wamegeuza chatrooms. Inboxes uwanja wa kutongozana.
Status mahali pa kupigana vijembe na kujisifu.
Me nikuhakikishie kitu, japo si mtabiri. Huyo rafiki yako itamchukua anaza ten to fiften years kuolewa, labda atumie shortcut kuloga au kubambikiza mimba. Wao wanaona sifa pale wanapopata comments na friend requests nyingi (attention seekers). Wangejua kuwa guys wanacomment tu kupata one night stands wangelia.. Mshauri
Nina rafiki yangu (same age) afu profile photo yake ni half naked, can you imagine! She is still single na sijawahi muona na serious relationship though she is beautiful, may be ana advertise.
Mimi nilideactivate my facebook a/c baada ya kuona ni useless kwangu kwani watu wengi wanaitumia sivyo. Pia watu tumekuwa malimbukeni wa tamaduni zetu kweli kweli kwani unakuta mtu yule kwenye daladala au mgahawa anapiga simu eti "ingia facebook tuchat" ukikaa kidogo "ingia facebook tuchat" huu naita ni ujinga kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kudhania kuwa anaenda na wakati kwa kupoteza mda kufanya mambo ambayo hayana manufaa ya kimaisha kwake sisi huku tunajifunza bwana.
Nina rafiki yangu (same age) afu profile photo yake ni half naked, can you imagine! She is still single na sijawahi muona na serious relationship though she is beautiful, may be ana advertise.
yamenikuta na niliiona fb chungu
Ni mtandao unaoongoza kwa matangazo ya wadada wanaojiuza. Mi huwa napita sana huku. Mafanikio niliyoyapata kwa mwaka huu ni kwamba nishachapa wawili huko. Kwahiyo mara nyingi nipo mawindoni huko.FB ni nn!!
yaani umegonga ikulu mtu wangu ni kweli kabisame naamini lengo la facebook sio hili... Sisi ndio tumekuwa limbukeniz.. Mtu anaenda kabisa photopoint jus for a profile pic ya facebook? Na huyo ana mpenzi.
Comments wamegeuza chatrooms. Inboxes uwanja wa kutongozana.
Status mahali pa kupigana vijembe na kujisifu.