Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

me naamini lengo la facebook sio hili... Sisi ndio tumekuwa limbukeniz.. Mtu anaenda kabisa photopoint jus for a profile pic ya facebook? Na huyo ana mpenzi.

Comments wamegeuza chatrooms. Inboxes uwanja wa kutongozana.
Status mahali pa kupigana vijembe na kujisifu.

Very true
 
Me nikuhakikishie kitu, japo si mtabiri. Huyo rafiki yako itamchukua anaza ten to fiften years kuolewa, labda atumie shortcut kuloga au kubambikiza mimba. Wao wanaona sifa pale wanapopata comments na friend requests nyingi (attention seekers). Wangejua kuwa guys wanacomment tu kupata one night stands wangelia.. Mshauri

Puppy ur such a Genius, umesema all truth, sijui kwanini most girls mtu anajijua Mzuri unataka kusifiwa nini? Na ukiumwuliza tayari ugomvi, ila kwa mwanamke mwelewa atafuta mwanaume wake anataka afanye nini, sifa za mara ooh, namba 8, ww unatisha kwa umbo, hakuna kama ww etc, haifai mwanamke kuambiwa ambaye already ana rafiki wa kiume, kwani hayo yooote boyfriend wake si kaona hadi kamfuata wawe wachumba, ila nasema UKIKOSEA KUCHAGUA MWANAMKE NYUMBA YAKO ITAKUWA DANGURO, tuchague mwanamke msikivu kwa mwanaume, mwenye heshima, asiye na hasira, kama hana haya muuache atatiwa na every man hadi ajute
 
Wanaotumia FB kwa namna inayowaudhi wapenzi wao ni wapuuzi sana, kama vipi wapewe mtoso tu, mwingine anajiita single wakati si kweli, mwingine eti yuko interested na girls tu, anataka kufanya nao nini wakati tayari ana girlfriend na kama haitoshi unakuta hao girls anawaita baby, sweetie wakati si ajabu hao girls wenyewe wana watu wao, wanaishia kumchuna tu visenti vyake.
 
Halafu mi naona wanaume wenye tabia kama hiyo kwenye FB au sites nyingine, ni bora kuachana naye kama hataki kukusiliza na kubadilika au na wewe unamtikisa kwa kuadd marafiki wa kiume wale masuper handsome, unaowafahamu na usiowafahamu, mastaa na wasio mastaa, uwe unawapa sifa kemkem, uwaite dear ili nao wakuite dear pia, ili umpe presha humo kwenye FB huyo boylover wako asiye na adabu, atapata wivu utakaomtesa vilivyo na kubadilika.
 
Nina rafiki yangu (same age) afu profile photo yake ni half naked, can you imagine! She is still single na sijawahi muona na serious relationship though she is beautiful, may be ana advertise.

daaah hebu npe account yake nione ka anaadvertise.....
 
Mimi nilideactivate my facebook a/c baada ya kuona ni useless kwangu kwani watu wengi wanaitumia sivyo. Pia watu tumekuwa malimbukeni wa tamaduni zetu kweli kweli kwani unakuta mtu yule kwenye daladala au mgahawa anapiga simu eti "ingia facebook tuchat" ukikaa kidogo "ingia facebook tuchat" huu naita ni ujinga kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kudhania kuwa anaenda na wakati kwa kupoteza mda kufanya mambo ambayo hayana manufaa ya kimaisha kwake sisi huku tunajifunza bwana.

teh, teh! Naunga mkono hoja
 
Nina rafiki yangu (same age) afu profile photo yake ni half naked, can you imagine! She is still single na sijawahi muona na serious relationship though she is beautiful, may be ana advertise.

Kila kitu ni mtazamo tu! Wana saikolojia washandika kuwa Ukianza kumwona mtu ni kichaa hata kama si kweli kuna siku ukimkuta anapiga chafya utakimbia huku ukithibitisha mtizamo wako. Ukiwa na mtizamo kuwa demu fulani ni malaya haya siku ukimkuta na kaka yake utasema "si unaona!"
Hata haya niliyoandika hapa ni mtizamo tu, don't comment!
 
kweli wabongo wamedata na feisibuku yaani wengine wameifanya ka ndo chakula vile
 
Ulimbukeni ni maafa kweli, technolojia ukiwa limbukeni/mshamba kwa kudhania unajuaaa sana hasa vijidot.com utapotea hadi basi, badala technolojia ikusaidie ndio itakuongezea ujinga, hasa kwa malimbukeni, eg. Wa fb, utabaki kuuza SURAAAA, hadi jioni & life litakupiga ile mbaya, unapoteza valuable time, + uhusiano wako na mpenzi wako mostly unakuwa hatarini sana, WW KAMA MSICHANA MREMBO NA UNA BOYFRIEND WAKO UNATAFUTA KUSIFIWA VIA FB YA NINI? ur boyfriend anakupenda, so why unatafuta another attention kwa wanaume wengine? This is prostitute's behaviour then action to be a full prostitute follows, kujiuza, nothing more, i am done, period...!!!
 
yamenikuta na niliiona fb chungu

Umeona eeehh...!! Ukiuliza jibu la kijinga utapewa, JUST A FRIEND, JUST A FRIEND, JUST A FRIEND, heee huyu mwanamke kila mwanaume just a friend, ukiona haya piga chini chapchap, hawanaga lolote, usingojee umkamate live mgoni wako DALILI ZINATOSHA KABISA KUACHANA, ukisubiri hadi utazeeka huta mkamata live, piga chini, let's move forward, ushamba mbaya
 
FB ni nn!!
Ni mtandao unaoongoza kwa matangazo ya wadada wanaojiuza. Mi huwa napita sana huku. Mafanikio niliyoyapata kwa mwaka huu ni kwamba nishachapa wawili huko. Kwahiyo mara nyingi nipo mawindoni huko.
 
me naamini lengo la facebook sio hili... Sisi ndio tumekuwa limbukeniz.. Mtu anaenda kabisa photopoint jus for a profile pic ya facebook? Na huyo ana mpenzi.

Comments wamegeuza chatrooms. Inboxes uwanja wa kutongozana.
Status mahali pa kupigana vijembe na kujisifu.
yaani umegonga ikulu mtu wangu ni kweli kabisa
 
hapo ni sehemu ya matangazo yaani picha nyingine ni utupu mtu kaweka watu wanakoment yaani watu sijui wamekuaje kuje kusifiana ujinga ujinga tu
 
hapo ni sehemu ya matangazo yaani picha nyingine ni utupu mtu kaweka watu wanakoment yaani watu sijui wamekuaje kuje kusifiana ujinga ujinga tu

Umepatia haswa, ujinga umewazidi kweli
 
Back
Top Bottom