Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

Hivi bado kuna watu wanatumia fesibuku
Ile zama ilikuwa ya kuchoreshana kinoma , watu walijiunga na waliopotezana na kuja kugombana badala ya kujuana upya
 
Hivi bado kuna watu wanatumia fesibuku
Ile zama ilikuwa ya kuchoreshana kinoma , watu walijiunga na waliopotezana na kuja kugombana badala ya kujuana upya
inategemea unaitumiaje wewe, kule kuna machimbo mazuri sana
 
Nimeingia nilitaka nijiue..😆😆😆🤣.. wanataka death certificate...duh
Mkuu ripoti yu hiyo akaunti waambie hiyo akaunti ni feki kuna mtu anajifanya ni wewe, sina kumbukumbu vizuri ila nakumbuka wakati naripoti zile akaunti nilitoa maelezo kuwa zile akaunti ni feki Luna mtu anajifanya ni mimi.
 
Sasa umesahau pssword utaifutaje iyo accoun bila ku-login?
Ukisahau password cha kufanya una report hiyo akaunti mkuu kuwa ni feki kuna mtu anajifanya ni wewe, kwahiyo unaomba waifute Facebook wenyewe, unaanza hapa Kwenye report
20240509_072826.jpg
 
Hivi bado kuna watu wanatumia fesibuku
Ile zama ilikuwa ya kuchoreshana kinoma , watu walijiunga na waliopotezana na kuja kugombana badala ya kujuana upya
Mkuu, facebook ni mtandao mzuri sana. Inategemea unautumiaje. Kuna watu wanafanya biashara zao kupitia huko na wananufaika sana. Kuna kitu kinaitwa Market Place.
 
Unareport wapi ifutwe kama hukumbuki password??? Mimi kuna profile linaniuma sana...mbaya niliweka picha..
Unaweza kureport kwa akaunti yako nyingine lakini ukishindwa kutoa taarifa sahihi ndio basi hawatoweza kuishughulikia.
 
Back
Top Bottom