gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Nimeingia nilitaka nijiue..ππππ€£.. wanataka death certificate...duhKama alivosema mkuu hapo. Report mwenye account deceased.
inategemea unaitumiaje wewe, kule kuna machimbo mazuri sanaHivi bado kuna watu wanatumia fesibuku
Ile zama ilikuwa ya kuchoreshana kinoma , watu walijiunga na waliopotezana na kuja kugombana badala ya kujuana upya
Facebook ina mtaji wa watu sana. Wengi hawajui tu.inategemea unaitumiaje wewe, kule kuna machimbo mazuri sana
Mkuu ripoti yu hiyo akaunti waambie hiyo akaunti ni feki kuna mtu anajifanya ni wewe, sina kumbukumbu vizuri ila nakumbuka wakati naripoti zile akaunti nilitoa maelezo kuwa zile akaunti ni feki Luna mtu anajifanya ni mimi.Nimeingia nilitaka nijiue..ππππ€£.. wanataka death certificate...duh
PoleNna akaunti yangu ya muda nilisahau pasword na namba niliyosajilia siikumbuki tena, natamani niifungie ile akaunt au niweze kuirejesha ila nimeshindwa.
Ukisahau password cha kufanya una report hiyo akaunti mkuu kuwa ni feki kuna mtu anajifanya ni wewe, kwahiyo unaomba waifute Facebook wenyewe, unaanza hapa Kwenye reportSasa umesahau pssword utaifutaje iyo accoun bila ku-login?
Mkuu, facebook ni mtandao mzuri sana. Inategemea unautumiaje. Kuna watu wanafanya biashara zao kupitia huko na wananufaika sana. Kuna kitu kinaitwa Market Place.Hivi bado kuna watu wanatumia fesibuku
Ile zama ilikuwa ya kuchoreshana kinoma , watu walijiunga na waliopotezana na kuja kugombana badala ya kujuana upya
Unaweza kureport kwa akaunti yako nyingine lakini ukishindwa kutoa taarifa sahihi ndio basi hawatoweza kuishughulikia.Unareport wapi ifutwe kama hukumbuki password??? Mimi kuna profile linaniuma sana...mbaya niliweka picha..