Facebook inanishangaza sana

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
Habari bandugu zangu ba hapa!

Kuna ka utafiti kalifanyika humu jf ndani ya mwaka 2017 kuhusu hali ya wanq jf na status zao, mwaka 2017 umeshaisha sasa ebu tuangalie tokeo la tafiti hii,

Tafiti inasema wasichana wengi wa jf ni ma single mama, single mamas hao wanaomba leo kesho muujiza utoke wapate mume iwe humu au popote wanapopatia wao.

Tafiti inasema... Asilimia kubwa ya wanaume wa jf wameenda age lakini wakifika kwenye majukwaa ya cheche watajifanya ma check bob!, comment za ki check bob (ukitaka kufahamu kama ni madingi kawaangalie jukwaa la siasa)

Tafiti inasema.... Memba wa jf wanao jiunga siku hizi za karibu wana feki sana u great thinker au tuseme wana force sana kuwa ma great thinker (msi force hizi mambo zinakuja natural)

Tafiti inasema.... Jf ya sasa imekata moto sio kama kipindi chao uko nyuma, kipindi cha madingi na watabe wa mambo, walikuwa wanaigeuza geuza mada kama chapati ikiwa kikaangoni πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Heshima kwao!

Tafiti inasema.... Forex it's real!!! Hahahhah!
Wadau hii tafiti ya forex aijakamilika bwana
Ma pips na spread sijui... sijui stop loss mara take profit.... Hahhah! Ya ngoswe haya, tumuachie mwenyewe.

Tafiti itaendelea...!
 
Member wapya wako resi mnooooo teh hapo kwenye kufosi kingi hapoo....wacha nipite kuleeee [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Cc Smart911
 
Teh teh... Wewe pita huko huko! Waache wenzako watengenezee u greti sinka wao, (afe kipa afe beki mpaka kieleweke)
 
Tafiti inasema... Kuna asilimia ndogo ya wavuta bangi lakini kunaa asilimia kubwa ya akili zilizopinda na zilizo shindikana huko mitaani kwako.
 
Member wapya wako resi mnooooo teh hapo kwenye kufosi kingi hapoo....wacha nipite kuleeee [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Cc Smart911
Naona uliwahi siti kwanza Halaf uzi ukausoma badae
 
Member wapya wako resi mnooooo teh hapo kwenye kufosi kingi hapoo....wacha nipite kuleeee [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Cc Smart911
Hahahaaa. Kwenye hili wacha na mie nikufuate rafiki. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…