torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
Habari bandugu zangu ba hapa!
Kuna ka utafiti kalifanyika humu jf ndani ya mwaka 2017 kuhusu hali ya wanq jf na status zao, mwaka 2017 umeshaisha sasa ebu tuangalie tokeo la tafiti hii,
Tafiti inasema wasichana wengi wa jf ni ma single mama, single mamas hao wanaomba leo kesho muujiza utoke wapate mume iwe humu au popote wanapopatia wao.
Tafiti inasema... Asilimia kubwa ya wanaume wa jf wameenda age lakini wakifika kwenye majukwaa ya cheche watajifanya ma check bob!, comment za ki check bob (ukitaka kufahamu kama ni madingi kawaangalie jukwaa la siasa)
Tafiti inasema.... Memba wa jf wanao jiunga siku hizi za karibu wana feki sana u great thinker au tuseme wana force sana kuwa ma great thinker (msi force hizi mambo zinakuja natural)
Tafiti inasema.... Jf ya sasa imekata moto sio kama kipindi chao uko nyuma, kipindi cha madingi na watabe wa mambo, walikuwa wanaigeuza geuza mada kama chapati ikiwa kikaangoni 😀 😀 😀 Heshima kwao!
Tafiti inasema.... Forex it's real!!! Hahahhah!
Wadau hii tafiti ya forex aijakamilika bwana
Ma pips na spread sijui... sijui stop loss mara take profit.... Hahhah! Ya ngoswe haya, tumuachie mwenyewe.
Tafiti itaendelea...!