Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Facebook kule ni mtandao wa marekani, kule samia mpaka trump wanatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa, vipi kule YouTube na Instagram na hamfungi.
Kule Tiktok ni wa china kule raisi wa china anatukanwa sana lakini hatuoni ukifungiwa sio rais wa china tu mpaka samia anatukanwa sana kule mara 100 kuzidi jamiiforums mbona hatuoni hatua zozote.
Tunajua uchafu wenu hatutopiga magoti wala kuwaabudu wakati utawadia tutawaondoa viongozi wahuni, wala rushwa na wasio na uchungu kwenye nchi yetu tumechoka kunyanyaswa kwenye nchi yetu.