Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
facebook ni mawasiliano kama simu, mail, barua za posta (za asili) n.k sasa kama mtu ana mpenzi kwenye facebook na wanawasiliana kimapenzi ujue sio mwaminifu ni sawa na kufuma msg za mapenzi kwenye simu tu maana ni njia za mawasiliano ambazo zinaweza kupelekea kufanya mapenzi
mie nilishaachana na facebook naona imekaa kiujana sana maana unakuta watu wanachukua picha zako mle wanaenda kutumia kwa manufaa yao binafsi wengine wanazi-publish kwenye blog zao wengine wanazitoa kwenye magazeti ya udaku na wengine wanazitumia kujichulia kwa kuzitazama na kuvutia feeling ni vurugu tupu
ma-selebu wa bongo wengi shule hamna wanakimbilia facebook kuuza sura na maisha yao binafsi wizi mtupu
ndo maana nafanana na tumbili nikiwa huko... ujinga mtupu... . ma-selebu wetu ndo wamejazana huko!!:mad2:
Sasa mbona umegoma kuchat na mimi? Hebu twende rum basi:smile-big:Naona Hii Facebook ina matatizo sana eeee :confused2:
mie ngoja niendelee zangu na JF mpaka chatting room tumewekewa nahitaji nini zaidi:A S 8:
Sasa mbona umegoma kuchat na mimi? Hebu twende rum basi:smile-big:
karibu.. noted...wiz ...senksi!!Naona Hii Facebook ina matatizo sana eeee :confused2:
mie ngoja niendelee zangu na JF mpaka chatting room tumewekewa nahitaji nini zaidi:A S 8:
Naona Hii Facebook ina matatizo sana eeee :confused2:
mie ngoja niendelee zangu na JF mpaka chatting room tumewekewa nahitaji nini zaidi:A S 8:
ma-selebu wa bongo wengi shule hamna wanakimbilia facebook kuuza sura na maisha yao binafsi wizi mtupu