facebook ni mawasiliano kama simu, mail, barua za posta (za asili) n.k sasa kama mtu ana mpenzi kwenye facebook na wanawasiliana kimapenzi ujue sio mwaminifu ni sawa na kufuma msg za mapenzi kwenye simu tu maana ni njia za mawasiliano ambazo zinaweza kupelekea kufanya mapenzi
mie nilishaachana na facebook naona imekaa kiujana sana maana unakuta watu wanachukua picha zako mle wanaenda kutumia kwa manufaa yao binafsi wengine wanazi-publish kwenye blog zao wengine wanazitoa kwenye magazeti ya udaku na wengine wanazitumia kujichulia kwa kuzitazama na kuvutia feeling ni vurugu tupu