unatoka kijiji gani??? usivamie miji kwa pupa!!! ni hatariWana JF, kuuliza si ujinga ndugu zangu. Naomba mnisaidie, nini maana ya FACEBOOK na inatumikaje? Nimekuwa nikisikia terminology hii kila kukicha na kila niulizpo watu, wengi nona kwao inakuwa mashikolo. Nisaidieni tafadhali. Na kama kuna uwezekano, nielekezeni namna ya kujiunga.
Wabongo bwana tuna tabu sanaunatoka kijiji gani??? usivamie miji kwa pupa!!! ni hatari
Kuwa mjini sio ndio kujua habari za FACEBOOK mbona wapo watu kibao mjini na hawaijui facebook, na wengine tupo bush tunaijua mwanzo mwisho, acha hizo!unatoka kijiji gani??? usivamie miji kwa pupa!!! ni hatari
You make my day for your comments, ni kweli njia inaweza ikawepo kijijini kwenu na bado unaweza usiifahamu. Hii inatokana na ukweli kwamba kupita njia fulani ni utashi unaoambatana na mahitaji tarajiwa!Kuwa mjini sio ndio kujua habari za FACEBOOK mbona wapo watu kibao mjini na hawaijui facebook, na wengine tupo bush tunaijua mwanzo mwisho, acha hizo!
not all those who wanders are lost!unatoka kijiji gani??? usivamie miji kwa pupa!!! ni hatari
... Mimi ni mwanasheria msomi., nasaidia watu wasiojua siku zote. Hata pweza paolo anajua. Ni kwamba FACEBOOK/ usokitabu ni forum tu kama JF, tafauti ni kwamba inatumiwa na teenagers zaidi, na pia ilianzishwa na wanachuo wa Havard mwaka 2004 kama jukwaa la kukutana marafiki waliopotezana muda.
Facebook ni forum nzuri sana ya kupotezea muda, kwa hiyo kama huna shughuli jiunge sasa hivi. Namna ya kujiunga ni rahisi tu hata kuliko JF., tembelea Welcome to Facebook na ufuate maelekezo.
Wasalaam.:eyeroll2:
unatoka kijiji gani??? usivamie miji kwa pupa!!! ni hatari
Muuliza swali ni kama kada wa chama vileeeeeeeeee.
Maana hajadhubutu ata kugoogle au kuweekpedia ili angalau aje na lolote apa.
Kwa maswali kama hayo kuiondoa CCM madarakani ipo kazi